Watoto
Unaweza kuwaleta watoto wako amoja nawe unapokuja Mahakamani ikiwa huwezi kufanya mipangilio mingine kwa ajili ya utunzaji wao. Watoto wanaruhusa kuja kuingia chumba cha mahakama. Lakini tafadhali kumbuka kuwa pengine mambo yanayozungumzia mahakamani yanaweza kuwa waziwazi na kukasirisha. Pia, Mahakama inaweza kuwa na shughuli nyingi na watu wengi. Kunaweza kuwa muda mrefu wa kusubiri. Hata wakati Mahakama ina watu wengi, bado ni muhimu kwa watu kwenye chumba cha mahakama kuwa kimya wanaposubiri.